Na, Adam Chauya. KATIKA kuhakikisha uchumi wa nchi unakua, benki ya kibiashara ya Akiba imejipanga kuhakikisha inatoa huduma sahihi ikiwa ni pamoja na elimu katika vikundi vya vikoba. Afisa masoko wa AKIBA Commercial Bank (ACB) Anthony Kunambi (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe zawadi wakati benki hiyo…