Z anzibar.Agosti 12, 2021. Katika jitihada za kuboresha huduma za mawasiliano visiwani Zanzibar, Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel, imezindua minara nane ya mawasiliano katika maeneo mbalimbali yaliyokuwa na mtandao hafifu ili kuhakikisha wateja wanapata huduma bora.Minara hiyo iliyopo katika vijiji vya Seacliff, Kisiwa Uzi, Bumbwini Mafufu, Kisiwani, Chambani, Makangale, Maziwa…