Na Faraja Masinde, Mtanzania Digital Kampuni ya Nyumba ya Watumishi Housing (WHC) imekumbushwa kujenga nyumba kwa ajili ya walimu kwani wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya makazi hatua inayosababisha baadhi kukimbilia mijini. Wito huo umetolewa Jumatatu Juni 28, 2021 jijini Dar es Salaam na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti…