Na Ramadhan Hassan, Chemba WATENDAJI Kata katika Halmashuri ya Chemba waliotafuna zaidi ya Sh milioni 700 kutokana na makusanyo katika minada wanatarajiwa kupelekwa mahakamani mara baada ya uhakiki wa madeni yao kukamilika. Hatua hiyo imekuja kufuatia baadhi ya watendaji wa kata za Halmshauri ya Chemb kutafuna zaidi ya Sh milioni…