Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro (wa pili kushoto) akimkabidhi zawadi mbalimbali Katibu Mkuu wa Shirika la Umoja wa Kimataifa linaloshughulikia Masuala ya Utalii (UNWTO) Zurab Pololikashvili (kushoto) baada kufanya kikao cha ana kwa ana kando ya mkutano huo wa Kimataifa wa Utalii wa Kanda ya Afrika unaofanyika…