WhatsApp imekuwa ni moja kati ya nyenzo muhimu sana kwa mawasiliano siku hizi, wengi wetu hutumia progamu hii kwa biashara, na wengine hutumia kwa kuwasiliana na ndugu na jamaa wa karibu.Kuliona hili WhatsApp imekuwa ileta maboresho mbalimbali ambayo husaidia watu kuweza kuwasiliana kupitia programu hiyo kwa urahisi, hivi karibu sehemu…