Kama wewe ni mtu yoyote ambaye unafanya biashara au una nunua bidhaa mtandaoni basi ni lazima unafahamu Paypal. Kama ufahamu kuhusu Paypal basi unaweza kusoma makala yetu hapa kujua zaidi kuhusu Paypal.Sasa mbali ya kuwa Paypal kwa hapa Tanzania haina njia rasmi ya kutoa pesa kwenda kwenye akaunti yako ya…