Ni wazi kuwa hadi sasa tayari unafahamu njia nyingi za kutengeneza pesa mtandaoni, najua lazima kwenye njia hizo unazo zifahamu lazima njia ya kutengeneza pesa kupitia Adsense ipo kwenye list.Kuliona hili leo nimeona nikuletee makala ambayo inaweza kukupa muongozo jinsi gani ya kutengeneza pesa zaidi kupitia akaunti yako ya Adsense…