Na Sheila Katikula, Mwanza Serikali imekemea oparesheni zinazofanywa na baadhi ya Askari wa Uhamiaji ambazo zinawanufaisha wao kwa maslahi yao binafsi bila ridhaa ya ofisi kwani kufanya hivyo ni kosa ni vema misako yote kufanyika kwa uwazi na usimamizi. Wito huo umetolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George…