Na Clara matimo, Mwanza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel amewaapisha wajumbe wanne wa Baraza jipya la Ardhi na Nyumba Wilaya ya Sengerema ambalo litapunguza mlundikano wa kesi za migogoro ya ardhi zilizokuwa zinapelekwa mkoani Geita, huku Mbunge wa Jimbo la Sengerema Hamis Mwagao ‘Tabasamu’ akitoa msaada wa…