Rais wa Brazil Jair Bolsonaro, 66, huenda akahitaji upasuaji wa dharura baada ya kupata kwikwi sugu zinazoendelea kwa siku 10, ofisi yake inasema. Anahamishiwa hospitali hadi hospitali nyingine huko São Paulo kufanyiwa uchunguzi wa utumbo . Katika ujumbe wa twitter , Bw Bolsonaro alisema “atarudi hivi karibuni, Mungu akipenda”. Kumekuwa…