Benki ya NMB imetoa Sh. 60 Milioni kwa ajili ya kudhamini Mashindano Maalumu ya mchezo wa Gofu ya Mkuu wa Majeshi (CDF ) ambayo yanatarajia kuanza Septemba 17 hadi 19 kwenye viwanja vya Klabu ya Gofu vya Lugalo Jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha Wateja Maalum Benki ya…