Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki y NMB, Ruth Zaipuna na Afisa Mtendaji Mkuu wa CCBRT, Brenda Msangi wakionyesha mkataba wa maelewano baada ya kutiliana saini mkataba wa maelewano wa mbio za NMB Marathon zenye lengo la kuchangia bilioni mmoja ndani ya miaka minne kwa ajili ya kuwatibu akinamama wenye Fistula. Kulia…