Na Ramadhan Hassan,Dodoma OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imetakiwa kutoa elimu kwa wananchi kuhusiana na umuhimu wa kuhesabiwa katika zoezi la sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika mwakani ili kuiwezesha Serikali kupanga maendeleo na kukuza uchumi. Akichangia leo,Agosti 18,2021,katika kikao cha uhamasishaji na utoaji wa elimu ya sensa…