Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka Na Ramadhan Hassan, Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amewaapisha Wakuu wapya wa Wilaya za mkoa huo huku akiwataka kutokuwa na ‘balehe’ ya madaraka. Wakuu wapya wa wilaya walioapishwa leo Jumanne 22, 2021 ni Mkuu wa wilaya ya Kongwa, Remidius Mwema na…