Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam YANGA SC haipoi! Hicho ndicho unachoweza kusema baada ya kiungo wa kimataifa wa Ghana, Godfred Nyarko, kutua Tanzania leo ili kukamilisha dili la kujiunga na Wanajangwani hao. Nyarko (23), ambaye anacheza eneo la kiungo mshambuliaji, anatokea Medeama inayoshiriki Ligi Kuu ya Ghana. Kwa mashabiki…