Telegram ni moja kati ya App bora sana ya kuchat hivi sasa, app hii imekuwa bora kutokana na usalama wake pamoja na kuwa na sehemu nyingi nzuri ukitofautisha na app ya WhatsApp ambayo kwa sasa inatumiwa na watu wengi zaidi.Najua kuna baadhi ya watu watakuwa wanapingana na mimi lakini kwa…