Kenya imepokea dozi 880,000 ya chanjo ya Moderna kutoka Marekani, kuimarisha mpango wa utoaji chanjo unaoendelea nchini humo. Chanjo hizo ziliwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta asubuh ya leo Jumatatu, Agosti 23, 2021. Shehena hii ni sehemu ya dozi milioni 1.7 za chanjo zilizoahidiwa na Marekani kwa…