Sharifa Mmasi,Mtanzania Digital KATIBU Mkuu wa Chama cha Waendesha  Baiskeli  Mkoa wa Lindi (CHABALI), Said Kengele, amemsihi  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwatazama kwa  jicho la tatu ili kuendelea kuinua vipaji vya vijana vinavyoendelea kupotea  kila siku. Akizungumza na Mtanzania Digital, Kengele amesema kuwa, miaka ya nyuma aliwahi kumgusia Waziri huyo…