Na Renatha Kipaka, Bukoba WANANCHI mkoani Kagera wametakiwa kuacha tamaduni zilizo zoeleka ili kuepuka maambukizi ya virusi vya corona. Wito huo umetolewa na Katibu Tawala wa Mkao huo, Profesa Faustine Kamzora wakati wa uzinduzi wa chanjo uliofanyika katika hospitali ya Rufaa iliyopo mjini Bukoba. Amesema tangu miaka ya nyuma watu…