Msanii wa vichekesho ambaye pia ni mfanyabiashara Idris Sultan amefutiwa mashtaka yaliyokuwa yanamkabili yeye na wenzake wawili. Idris amefutiwa mashtaka na mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu chini ya Hakimu Mwandamizi Yusto Ruboroga. Hii imekuja baada ya Mkurugenzi wa mashtaka nchini Tanzania (DPP) kuielezea mahakama hio kuwa hana nia ya kuendelea…