Kampuni ya GSM kupitia GSM Home imezindua huduma mpya ya malipo ya LAYBY ambayo itamuwezesha mteja wa vifaa vya nyumbani au ofisini kulipa kidogo kidogo au kwa awamu kuanzia miezi 3-6. Afisa Biashara Mkuu wa GSM ndugu Allan Chonjo amesema huduma hiyo ya malipo itahusisha bidhaa zote ambazo thamani yake…