DODOMA, Kwa mamlaka niliyopewa chini ya kifungu cha 9(b) cha sheria ya Huduma za Habari Na. 12 ya 2016 nimeamua kusitisha kwa muda wa siku thelathini (30) leseni ya uchapishaji na usambaji wa gazeti la Raia Mwema kuanzia kesho tarehe 06 Septemba, 2021. Uamuzi wa kusitisha leseni ya gazeti la…