Kampuni ya Google hivi karibuni ilitangaza ujio wa mfumo mpya wa Android 12, hadi sasa yapo mambo mengi ya muhimu ambayo unapaswa kuyajua kuhusu mfumo huu mpya ambao unategemewa kuanza kutumika rasmi kwenye smartphone nyingi kuanzia mwishoni mwa mwaka 2021.Kuliona hili leo nimeona nikuletea baadhi ya mambo ambayo utegemee kuyakuta…