Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw. Tixon Nzunda (katikati), akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mifumo ya Computer, Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Bw. Stephen Goyayi, (kushoto) huku Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo, Dkt. John Mduma akisikiliza wakati…