Nchi ya Afghanistan inaongozwa katika misingi ya dini ya kiislamu, nchi hii ipo eneo la mashariki ya kati ukiitazama katika ramani ya dunia. Mara nyingi imekuwa ikiripotiwa kuhusishwa na vitendo vya vita au ugaidi lakini leo tunaangazia kushamiri kwa biashara haramu ya viungo vya binadamu haswa figo. Wanasayansi wanasema kuwa,…