Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Benki inayoongoza nchini Tanzania, NMB, imeendeleza ufanisi wake kiutendaji katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka 2021. Faida baada ya kodi ya mapato imeongezeka kwa asilimia 43 na kufikia shilingi bilioni 134 ikilinganishwa na Shilingi bilioni 94 ya kipindi kilichoishia June 2020. Ufanisi…