Kama wewe ni mmoja wa watu ambao siku za karibuni wamenunua simu mpya au kama unataka kununua simu mpya au hata kama unayo simu ambayo unataka kujua kama ina uwezo wa kuingiza maji basi njia hii itakusaidia sana.Tofauti na majaribio ya kuingiza simu yako kwenye maji, njia hii haitaji wewe…